ABIRIA STENDI YA MABASI UBUNGO DAR ES SALAAM WAPATA SHIDA

Baadhi ya Abiria walioondoka Dar es Salaam jana katika Stendi ya Mabasi Ubungo na Gari lenye namba za Usajili T 295 ALX wakisimulia mkasa unao wakuta, akianza kusimulia msafiri aliyekuwa akielekea Musoma alisema, (jina tumelihifadhi) aliyetokea Mbagala alisema, mimi naelekea Musoma Mkoani Mara na kupatiwa tiketi 2 kwa Shilingi elfu 90, na baada ya gari kuondoka waliambiwa Gari hilo linakwenda  Mwanza na lilipofika Nzega wakaambiwa wanaenda Kigoma na baada ya hapo watapatiwa usafiri mwingine na alivyoambiwa  ajenti wa Nzega kuwa tunawenda Musoma na akakataa na akaenda mbai zaidi ajent kuwa nitakujibi vibaya, naye abiria mwingine jina tumelihifadhi,  aliyekuwa akiele Mwanza na akielekea Mkoa wa Mara aliyepandia Morogoro nakujikuta anashushiwa Nzega na kutafutiwa usafiri mwengine  baada ya kufika Nzega Saa 5.45 na mpaka saa 9.30 abilia hawajapatiwa usafili mwingine na inasemekana kuondoka ni saa 12 alfajiri.  (KHAMISI MUSSA)

0 comments: