RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA KAMISHA JENERALI WA ZIMAMOTO NA MABALOZI WANNE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Thobias E.  Andengenye kuwa Kamishna Jenerali wa Zimamoto akishuhudiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba Ikulu jijini Dar es salaam leo Febuari 26, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Pindi Chana kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya akishuhudiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba Ikulu jijini Dar es salaam leo Febuari 26, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Silima K. Haji kuwa balozi wa Tanzania nchini Sudan akishuhudiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba Ikulu jijini Dar es salaam leo Febuari 26, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Abdallah Kili8ma kuwa Balozi wa Tanzania nchini Oman huku akishuhudiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba Ikulu jijini Dar es salaam leo Febuari 26, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Matilda S. Masuka kuwa balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini huku akishuhudiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu  Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba Ikulu jijini Dar es salaam leo Febuari 26, 2017
Baada ya kuapa wana kula kiapo cha uadilifu kwa viongozi wa umma
Baada ya kuapa wanasaini kiapo cha uadilifu kwa viongozi wa umma
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongea machache
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaasa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mwigulu Nchemba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Thobias E.  Andengenye baada ya kumuapisha kuwa Kamishna Jenerali wa Zimamoto0 comments: