JINSI MBOWE, LOWASSA, RIDHIWANI KIKWETE, MGEJA NA NAPE WALIVYOKUTANA UWANJA WA TAIFA MECHI YA SIMBA vs YANGA


Mechi ya Simba vs Yanga leo imemalizika kwa ushindi wa Simba kupata goli 2-1 lakini pia imekutanisha baadhi ya viongozi kutoka vyama viwili vya kisiasa Tanzania ambavyo ni CHADEMA na CCM.Kwenye mechi ya leo aliyekuwa Mgombea Urais 2015 kupitia CHADEMA Edward Lowassa, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe,Khamis Mgeja walikuwa wamekaa eneo moja kutazama mpira na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete na Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo Nape Nnauye na walionekana wakisalimiana.
Wakisalimiana Jamal Malinzi Rais wa TFF, Edward Lowassa na Nape Nnauye
Edward Lowassa akisalimiana na baadhi ya Mashabiki
Mwenyekiti Freeman Mbowe akizungumza na Edward Lowassa

0 comments: