WACHIMBAJI WOTE 14 WALIOFUKIWA KATIKA MGODI WA RZ MKOANI GEITA WAOKOLEWA WAKIWA HAI

Wachimbaji wa Madini ya Dhamahbu 14 waliofukiwa na kifusi katika mgodi wa RD Nyarugusu  mkoani Geita hatimaye wameokolewa wote wakiwa hai kama wanavyoonekana baadhi wakiwa wamelazwa chini mara baada ya kufukuliwa katika shimo la mgodi huo na hizi ni baadhi ya picha zilizorushwa na mitandao mbalimbali zikionesha wachimbaji hao wakiwa wameokolewa endelea kufuatilia tukio hili tutakuletea taarifa zaidi baadaye kupitia hapahapa

RZ2
RZ4
RZ3

0 comments: