TANZIA: MAZISHI YA BIBI CATHERINE MARWA (89) YAFANYIKA KENYAMANYORI TARIME MKOANI MARA

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tarime mkoani Mara, akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89). Mazishi yamefanyika hii leo katika Kata ya Kenyamanyori wilayani Tarime.
Na BMG
Ndugu, jamaa na marafiki wakiuaga mwili wa marehemu
Mtoto wa marehemu (kushoto) akiwa na shemeji yake, wakiweka shada
Viongozi wa dini wakiweka mashada
 Marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89), enzi za uhai wake. Mola aipumzishe roho ya marehemu, mahala pema, peponi, Amina!

0 comments: