RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA PROFESA IBREAHIM HAMISI JUMA KUWA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 11:32 AM
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu
jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2018. Anayeshuhudia
kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman (kushoto).
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2018. Anayeshuhudia kushoto ni Jaji Mkuu mstaafu Mohamed
Chande Othman (kushoto).
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli (kushoto) akimkabidhi
vitendea kazi baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 18, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza
baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu
wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2018. kulia ni Makamu wa Rais
Mhe Samia Suluhu Hassan
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais
Mhe Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Profesa Sifuni Mchome na Naibu
wake Mhe. Amon Mpanju wakiwa katika picha ya pamoja na majaji wa
mahakama ya Rufaa, Majaji wa Mahakama kuu baada ya kumuapisha Profesa
Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 18, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, katika picha ya
pamoja na majaji wa mahakama ya Rufaa na Majaji wa Mahakama kuu baada
ya kumuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa
Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, katika picha ya
pamoja na watendaji wa Mahakama baada ya kumuapisha Profesa Ibrahim
Hamisi Juma kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam
leo Januari 18, 2018. PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: