MADAKTARI BINGWA WA MOYO YA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI-AFRIKA KUTOKA MAREKANI WATOA HUDUMA YA KUZIBUA MISHIPA YA MOYO ILIYOZIBA


Madaktari Bingwa wa Moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). Kulia ni Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na  Dkt. Peter O’brien na kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau.

0 comments: