KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM, DIMANI ZANZIBAR

dim1
Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar.
dim2
Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar, uliofanyika jana
dim3
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, akisalimia wananchi alipotambulishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar.
dim4
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar. 
dim5
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Dimani, Zanzibar.
dim6
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu, Ngemela Lubinga, akisalimia wananchi alipotambulishwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, jana. 
dim7
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Kinana
dim8
Baadhi ya wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano huo wa uzinduzi wa Kampeni jimbo la Dimani

dim9
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Ali Seif Idd akisalimiana na wana CCM katika mkutano huo kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. (PICHA ZOTE NA BASHIR  NKOROMO)

0 comments: