MAANDALIZI YA MAZISHI YA MAREHEMU MPOKI BUKUKU NYUMBANI KWA FAMILIA

rato1
Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangweblog Bw. John Bukuku akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha  Marehemu Mpoki Bukuku Nyumbani kwao Msalato nje kidogo ya mji wa Dodoma  aliyefariki  hivi karibuni jijini Dar es salaam
rato2
Mpiga picha mkuu wa Magazeti ya Serikali TSN Daily News na Habari Leo Bw. Mohamed Mambo akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha  Marehemu Mpoki Bukuku Nyumbani kwao Msalato nje kidogo ya mji wa Dodoma  aliyefariki  hivi karibuni jijini Dar es salaam.
rato3
Waandishi wakiwa kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika maombolezo ya kifo hicho.
rato5
Jeneza la mwili wa marehemu likiwa katika viwanja vya nyumbani kwa familia yake.
rato7
Waombolezaji mbalimbali wakiwa katika majonzi.
rato8

0 comments: