ASKARI WA KAMPUNI BINAFSI NUSURA KUZICHAPA NA ANAE DAIWA KUA NI KONDA ENEO LA AJALI YA DCM ENEO LA NJIAPANDA YA JETI LUMO JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 10:43 AM
Mmoja wa konda (kushoto) ambae haikufahamika mara moja jina lake na ni konda wa gari gani akitaka kuzichapa na kati ya askari hao, alie vaa miwani kulia baada ya kutoleana Lugha ya kutoelewana kwa na kusababisha kutaka kuzichapa eneo la tukio la ajali ya Gari aina ya DCM, eneo la njiapanda ya Jeti Lumo, ambapo gari hilo linafanya safari yake Gongolamboto - Masaki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: