Eaus Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma, wakitoa heshima zao, wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Kapteni John Komba, wakati wa shughuli ya kuagwa mwili wa marehemu Komba iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam. Baadaye mwili ulisafiriwa kwa ndege kwenda mkoani Ruvuma kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho katika kijiji Lituhi. Rais Kikwete akimfariji mjane wa Kapteni Komba, Salome Mwakangale Komba, baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Komba Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa heshima kwa mwili wa Kapteni John Komba leo, Karimjee jijini Dar es Salaam Salome Mwakangale Komba akitoa heshimaa za mwisho kwa aliyekuwa mumewe, Kapteni John Komba, wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili huo, leo jijini Dar es Salaam Baada ya heshima akaubusu mwili wa aliyekuwa mumewe Binti wa Marehemu Komba akisaidiwa kutoa aheshima za mwisho Mtoto wa Kapteni Komba akitoa heshima za mwisho Mmoja wa waombolezaji akitoa heshima za mwisho Muombolezaji akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Makamu wa Rais Dk. Muhammed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Kapteni Komba Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akitoa heshima za mwisho Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akitoa heshima za mwisho Spika wa Bunge Anna Makinda akitoa heshina za mwisho Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akitoa heshima za mwisho
Katibu wa NEC, SUKI, CCM, ambaye pia ni Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Asha-Rose Migiro akitoa heshima za mwisho |
Umati wa watu ukiwa kwenye shughuli hiyo ya kutoa heshima za mwisho |
0 comments: