AWATIMUA WAGANGA WA KIENYEJI WILAYANI KWAKE"ETI WAGANGA WENYEWE NDIO HAWA !WALIOKUWA WANAZUZA WILAYANI KWANGU KWA MINAJILI YA KUTOA WACHAWI NA KUSABABISHA SHUGHULI ZOTE ZA UJENZI WA TAIFA KUSIMAMA! YAANI HAWAJAI HATA KWENYE MKONO ! NIMEKASIRIKAJE ! NIMEWACHIMBA MKWARA SITAKI KUWAONA KABISA NA WAMESAINI KIAPO CHA KUTOFANYA SHUGHULI HIZO HAPA WILAYANI KWANGU !"

0 comments: