45 PICHA ZA...TASWIRA YA RAIS KIKWETE AKIWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI VIWANJA VYA IKULU JANA....

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ikulu jijini Dar es salaam siku ya jana. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.

 Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani akila kiapo.
 Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb) Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb) Waziri wa Maliasili na Utalii akila kiapo.
 Mhe. Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akila kiapo.
Rais Kikwete akimuapisha  Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb) Waziri wa Fedha.
Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Dismas KAMANI (Mb) Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akila kiapo.
Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha akila kiapo.
Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb) Naibu Waziri (Nishati) akila kiapo
 Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb) Naibu Waziri wa Maji.
Mhe. Janet Zebedayo MBENE (Mb) Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara.
 Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akila kiapo.
Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA (Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akila kiapo.
Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb) Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika akiapishwa.
 Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb)  Naibu Waziri wa Fedha akila kiapo.              
 Mhe. Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb) Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii akila kiapo.
Mhe. Juma Selemani NKAMIA (Mb) Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Mhe. Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb)  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na familia ya Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (Mb) Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Rais Kikwete na baadhi ya wanafamilia ya Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani .
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Dkt. Asha-Rose Mtengeti MIGIRO (Mb) Waziri wa Katiba na Sheria.
  Rais Kikwete na familia ya Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb) Waziri wa Maliasili na Utalii.
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Dkt. Seif Seleman RASHIDI (Mb) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.

 Rais Kikwete na baadhi ya wanafamilia wa  Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb) Waziri wa Fedha

Rais Kikwete na familia ya Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Dismas KAMANI (Mb) Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha.
Rais Kikwete na familia ya Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb) Naibu Waziri (Nishati).
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb) Naibu Waziri wa Maji.
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Janet Zebedayo MBENE (Mb) Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara.
 Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
 Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA (Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto.
Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb) Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika.
 Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb)  Naibu Waziri wa Fedha.
 Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Juma Selemani NKAMIA (Mb) Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
 Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb)  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii.

  Rais Kikwete akiwa na familia ya Mhe. Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb) Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.

 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiwa na baadhi ya mawazir na naibu waziri waliokula kiapo siku ya jana.
Rais  Kikwete na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakiwa na makamanda na viongozi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Rais Kikwete na Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani wakiwa na wakuu wa vyombo vilivyo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani.

Rais Kikwete akiongea na Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani na wakuu wa vyombo mbalimbali vya dola vilivyo chini ya wizara ya mambo ya ndani.

0 comments: